PACSO Pemba yazindua mradi wa aina yake

IMEANDIKWA NA HAJI NASSOR, PEMBA MWEMVULI wa asasi za kiraia kisiwani Pemba PACSO, umekuja na mradi wa aina yake, unaokusudia kuwaelimisha wananchi njia bora na imara, za kufuatilia matumizi ya rasilimali fedha za umma, kwenye miradi ya ujenzi wa majengo ya skuli, inayotekelezwa kwenye maeneo yao. Katibu mkuu wa PACSO Sifuni Ali Haji, alisema wananchi…