16 Feb, 2022 Editor in Chief 0 Kongamano la siku mojaSera ya elimu ya mwaka 2006 haijafafanua vya kutosha juu ya elimu ya maandalizi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum ni nafasi kwa jamii kutoa maoni ili yaingizwe kwenye sera mpya mchambuzi sera Nassor Saleh Majid kwenye Kongamano la siku moja.