Mtandao wa Asasi za kiraia Pemba (PACSO) unatoa pongezi za dhati kwa raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kutimiza mwaka mmoja wa uongozi