SALAMU ZA RAMBIRAMBI

  SALAMU ZA RAMBIRAMBI Uongozi wa PACSO tunatoa salamu za rambirambi kwa familia ya  mjane wa Hayati, Rais Magufuli, Mama Janeth Magufuli, watoto, ndugu na jamaa kwa  kuondokewa na mpendwa wao na wananchi wote wa Tanzania kwa pigo hili kubwa. Ni msiba mzito ambao hatukutarajia, sote tunafahamu jinsi Hayati, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.…

Beware of criminals pretending to be WHO

Criminals are disguising themselves as WHO to steal money or sensitive information.  If you are contacted by a person or organization that appears to be from WHO, verify their authenticity before responding. The World Health Organization will: never ask for your username or password to access safety information never email attachments you didn’t ask for…

PACSO Pemba yazindua mradi wa aina yake

IMEANDIKWA NA HAJI NASSOR, PEMBA MWEMVULI wa asasi za kiraia kisiwani Pemba PACSO, umekuja na mradi wa aina yake, unaokusudia kuwaelimisha wananchi njia bora na imara, za kufuatilia matumizi ya rasilimali fedha za umma, kwenye miradi ya ujenzi wa majengo ya skuli, inayotekelezwa kwenye maeneo yao. Katibu mkuu wa PACSO Sifuni Ali Haji, alisema wananchi…